Machomane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Machomane ni aina ya ngoma ambayo inajulikana sana na kuimbwa na waganga wa kienyeji nchini Botswana wanaotumia dawa za kienyeji za Kiafrika. Kwa kawaida ngoma ya Machomane husindikizwa na watu watatu ambao ni wapiga ngoma.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Machomane music". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-22. Iliwekwa mnamo 21 September 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)