Macapá

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Macapá







Macapá

Bendera
Majiranukta: 0°22′0″N 51°03′59″W / 0.36667°N 51.06639°W / 0.36667; -51.06639
Nchi Brazil
Kanda North
Jimbo Amapá
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 355,000
Faili:Marcozero.jpg
Marco Zero katika ikweta

Macapá ni jina la mji mkuu wa jimbo la Amapá katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 355,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 14 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Macapá kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.