Maandamano dhidi ya nishati ya kinyuklia Marekani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maandamano dhidi ya nishati ya kinyuklia Marekani yametokea baada ya kuanzishwa kwa mitambo ya kuzalisha nyuklia.

Mifano inahusisha Muungano wa Clamshell kupinga uzalishwaji wa nyuklia wa Seabrook station, Muungano wa Abalone kupinga uzalishwaji wa nyuklia ndani ya Diablo canyon power plant na maandamano mengine yaliyofuatia kutokana na ajali ya kisiwa cha Maili tatu mwaka 1979.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]