Severus II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu la Valerius Severus

Severus II (alifariki Septemba 307) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma pamoja na Galerius kwa miezi michache kuanzia 306 hadi 307.

Alimfuata Constantius Chlorus na kufuatwa na Maxentius na Licinius.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Severus II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.