Namba atomia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Adding: li:Atoomnómmer
d robot Adding: zh-yue:原子序數
Mstari 75: Mstari 75:
[[zh:原子序数]]
[[zh:原子序数]]
[[zh-min-nan:Goân-chú-hoan]]
[[zh-min-nan:Goân-chú-hoan]]
[[zh-yue:原子序數]]

Pitio la 03:20, 19 Desemba 2007

Namba atomia inataja idadi ya protoni katika kiini cha atomi. Idadi ya protoni huwa sawa na idadi ya elektroni za ganda hivyo namba atomia inataja pia idadi ya elektroni.

Atomi zenye namba atomia ileile ni za elementi moja zikionyesha tabia zilezile za kikemia isipokuwa mara chache isotopi zinaweza kuwa na tofauti ndogo. Atomi zenye namba atomia ileile lakini zinazotofautiana katika masi kwa sababu ya tofauti katika idadi ya neutroni huitwa isotopi ya elemento moja.

Katika mfumo radidia elementi hupangwa kufuatana na namba atomia.