Theluthi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
'''Theluthi''' ni [[namba wiano]] inayotaja sehemu ya [[tatu]] ya jumla fulani. |
'''Theluthi''' ni [[namba wiano]] inayotaja sehemu ya [[tatu]] ya jumla fulani. Theluthi tatu zinafanya 1. |
||
Inaweza kuandikwa kama '''<math>\tfrac{1}{3}</math>''' au '''1/3'''. |
Inaweza kuandikwa kama '''<math>\tfrac{1}{3}</math>''' au '''1/3'''. |
Pitio la 10:38, 16 Mei 2016
Theluthi ni namba wiano inayotaja sehemu ya tatu ya jumla fulani. Theluthi tatu zinafanya 1.
Inaweza kuandikwa kama au 1/3.
Kama desimali inakaribia 0.33333333333.
Inalingana na takriban asilimia 33,33 %.
Hesabu: (1 ⁄ 3) · ((100 ⁄ 3) ⁄ (100 ⁄ 3)) = (100 ⁄ 3) ⁄ 100 ≈ 33,33 ⁄ 100 ≈ asilimia 33,33 .