Kisotho-Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d ki- --> i- using AWB
d →‎Viungo vya nje: +viungo vya OLAC na Glottolog using AWB
Mstari 4: Mstari 4:
*[http://multitree.org/codes/sot lugha ya Kisotho-Kusini kwenye Multitree]
*[http://multitree.org/codes/sot lugha ya Kisotho-Kusini kwenye Multitree]
*[http://llmap.org/languages/sot.html ramani ya Kisotho-Kusini]
*[http://llmap.org/languages/sot.html ramani ya Kisotho-Kusini]
* http://www.ethnologue.com/language/sot
*[http://www.language-archives.org/language/sot makala za OLAC kuhusu Kisotho-Kusini]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/sout2807 lugha ya Kisotho-Kusini katika Glottolog]
*http://www.ethnologue.com/language/sot


{{mbegu-lugha}}
{{mbegu-lugha}}

Pitio la 08:37, 16 Aprili 2015

Kisotho-Kusini ni lugha ya Kibantu nchini Afrika Kusini inayozungumzwa na Wasotho. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kisotho-Kusini nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu 4,240,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisotho-Kusini iko katika kundi la S30.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisotho-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.