Nicolaas Louw : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Baba Tabita alihamisha ukurasa wa Nicholaas Louw hadi Nicolaas Louw: kusanifisha jina kamili
d tarehe
Mstari 1: Mstari 1:
'''Nicholaas Petrus van Wijk Louw''' ([[1906]] - [[1970]]) alikuwa mwandishi wa [[Afrika Kusini]]. Aliandika na kufundisha chuoni hasa kwa [[Kiafrikaans]]. Mwaka wa 1945 alianzisha jarida ''Standpunte''. Aliandika maandishi mengi tofauti kama mashairi, tamthiliya, insha na mengineyo.
'''Nicholaas Petrus van Wijk Louw''' ([[11 Juni]], [[1906]] - [[18 Juni]], [[1970]]) alikuwa mwandishi wa [[Afrika Kusini]]. Aliandika na kufundisha chuoni hasa kwa [[Kiafrikaans]]. Mwaka wa 1945 alianzisha jarida ''Standpunte''. Aliandika maandishi mengi tofauti kama mashairi, tamthiliya, insha na mengineyo.


==Maandishi yake==
==Maandishi yake==

Pitio la 15:25, 6 Juni 2014

Nicholaas Petrus van Wijk Louw (11 Juni, 1906 - 18 Juni, 1970) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Aliandika na kufundisha chuoni hasa kwa Kiafrikaans. Mwaka wa 1945 alianzisha jarida Standpunte. Aliandika maandishi mengi tofauti kama mashairi, tamthiliya, insha na mengineyo.

Maandishi yake

  • Lojale Verset (insha, 1939)
  • Raka (mashairi, 1941; tafsiriwa kwa Kiingereza 1968)
  • Germanicus (tamthiliya, 1956)
  • Liberale Nasionalisme (insha, 1958)
  • Vernuwing in die Prosa (tahakiki, 1961)
  • Tristia (mashairi, 1962)
  • Die Pluimsaad Waai Ver (tamthiliya, 1972)
  • Opstelle or Ons Over Digters (tahakiki, 1972)
  • Oh Wide and Sad Land (1975, tafsiri za mashairi yake kwa Kiingereza)

Angalia pia

Marejeo

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nicolaas Louw kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.