Kihamer-Banna : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: +Multitree, +ramani using AWB
d ki- --> i- using AWB
Mstari 1: Mstari 1:
'''Kihamer-Banna''' ni [[Lugha za Kiafrika-Kiasia|lugha ya Kiafrika-Kiasia]] nchini [[Ethiopia]] inayozungumzwa na [[Wahamer]] na [[Wabanna]], makabila mawili ambao huzungumza lugha moja. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kihamer-Banna imehesabiwa kuwa watu 74,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihamer-Banna kiko katika kundi la Kiomotiki.
'''Kihamer-Banna''' ni [[Lugha za Kiafrika-Kiasia|lugha ya Kiafrika-Kiasia]] nchini [[Ethiopia]] inayozungumzwa na [[Wahamer]] na [[Wabanna]], makabila mawili ambao huzungumza lugha moja. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kihamer-Banna imehesabiwa kuwa watu 74,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihamer-Banna iko katika kundi la Kiomotiki.


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==

Pitio la 11:41, 17 Mei 2014

Kihamer-Banna ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wahamer na Wabanna, makabila mawili ambao huzungumza lugha moja. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kihamer-Banna imehesabiwa kuwa watu 74,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihamer-Banna iko katika kundi la Kiomotiki.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihamer-Banna kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.