Bakaffa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: am:ዓፄ በካፋ; cosmetic changes
Minor fix using AWB
Mstari 1: Mstari 1:
'''Bakaffa''' (alifariki Septemba 1730) alikuwa mfalme mkuu wa [[Uhabeshi]] kuanzia [[18 Mei]], [[1721]] hadi kifo chake. Alimfuata kaka yake, [[Dawit III]]. Jina lake la kutawala lilikuwa kwanza ''Asma Sagad'', halafu ''Masih Sagad''. Wakati wa utawala wake, Wahabeshi waliona amani pamoja na ukuaji wa uchumi. Aliyemfuata ni [[Iyasu II]].
'''Bakaffa''' (alifariki Septemba 1730) alikuwa mfalme mkuu wa [[Uhabeshi]] kuanzia [[18 Mei]] [[1721]] hadi kifo chake. Alimfuata kaka yake, [[Dawit III]]. Jina lake la kutawala lilikuwa kwanza ''Asma Sagad'', halafu ''Masih Sagad''. Wakati wa utawala wake, Wahabeshi waliona amani pamoja na ukuaji wa uchumi. Aliyemfuata ni [[Iyasu II]].

{{mbegu-Kaizari-Uhabeshi}}
{{Mbegu-Kaizari-Uhabeshi}}


{{DEFAULTSORT:Bakaffa}}
{{DEFAULTSORT:Bakaffa}}

Pitio la 20:24, 14 Februari 2013

Bakaffa (alifariki Septemba 1730) alikuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kuanzia 18 Mei 1721 hadi kifo chake. Alimfuata kaka yake, Dawit III. Jina lake la kutawala lilikuwa kwanza Asma Sagad, halafu Masih Sagad. Wakati wa utawala wake, Wahabeshi waliona amani pamoja na ukuaji wa uchumi. Aliyemfuata ni Iyasu II.

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Uhabeshi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bakaffa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.