Kisotho-Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: su:Basa Sotho
d alihamisha Kisotho-Kusini (lugha) kwenda Kisotho-Kusini kwa kutengeneza elekezo: mabano siyo lazima
(Hakuna tofauti)

Pitio la 19:05, 9 Januari 2012

Kisotho-Kusini ni lugha ya Kibantu nchini Afrika Kusini inayozungumzwa na Wasotho. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kisotho-Kusini nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu 4,240,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisotho-Kusini kiko katika kundi la S30.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisotho-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.