Bongo Flava : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 2: Mstari 2:


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
* [http://www.fly.co.uk/fly/archives/africamiddle_east_features/whos_who_in_bon.html/ Nani ni nani katika Blongo Flava?]
* [http://www.fly.co.uk/fly/archives/africamiddle_east_features/whos_who_in_bon.html/ Nani ni nani katika Bongo Flava?]
* [http://www.mahusiano.com/ Tovuti ya muziki wa Tanzania ya Mahusiano]
* [http://www.mahusiano.com/ Tovuti ya muziki wa Tanzania ya Mahusiano]
* [http://www.bongoflava.com/ Tovuti ya muziki wa Bongo Flava ya BongoFlava.com]
* [http://www.bongoflava.com/ Tovuti ya muziki wa Bongo Flava ya BongoFlava.com]

Pitio la 13:24, 18 Agosti 2007

Bongo Flava ni muziki kutoka Tanzania. Bongo Flava sio staili moja ya muziki. Ni mseto wa staili za muziki ambazo zimepewa umaarufu na ubunifu mkubwa wa vijana nchini Tanzania, hasa katika jiji la Dar Es Salaam. Ni R&B, Rap & Hip Hop. ni muziki wa mchanganyiko wa midundo ya kisasa na asili, n.k. Muziki huu hujulikana pia kwa jina la Muziki wa Kizazi Kipya.

Viungo vya nje