Bongo Flava : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Bongo Flava
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Bongo Flava '''ni Muziki Kutoka [[Tanzania]] Iliyopo [[Afrika Mashariki]] na kati ni muziki unaojulikana kwa jina la '''Muziki wa Kizazi Kipya
'''Bongo Flava ''' ni muziki kutoka [[Tanzania]]. Bongo Flava sio staili moja ya muziki. Ni mseto wa staili za muziki ambazo zimepewa umaarufu na ubunifu mkubwa wa vijana nchini Tanzania, hasa katika jiji la [[Dar Es Salaam]]. Ni R&B, Rap, muziki wa mchanganyiko wa midundo ya kisasa na asili, n.k. Muziki huu hujulikana pia kwa jina la Muziki wa Kizazi Kipya.

'''ni bado mchanga kwa kweli na ni muziki wa vijana chipukizi na unajibebea [[Umaarufu]] mkubwa sana Nchini [[Tanzania]] kwa [[Habari]] zaidi unaweza kuongeza kwa kuhariri kurasa hii ili ipanuke
==Viungo vya nje==
* [http://www.fly.co.uk/fly/archives/africamiddle_east_features/whos_who_in_bon.html/ Nani ni nani katika Blongo Flava?]
* [http://www.mahusiano.com/ Tovuti ya muziki wa Tanzania ya Mahusiano]
* [http://www.bongoflava.com/ Tovuti ya muziki wa Bongo Flava ya BongoFlava.com]
* [http://www.swahiliremix.com/ Tovuti ya muziki ya SwahiliRemix]
* [http://www.mzibo.net/ Tovuti ya Mzibo]
* [http://www.bongoradio.com/ Tovuti ya Bongo Radio]
* [http://www.africanhiphop.com/ Tovuti ya African hiphop]

{{mbegu}}

[[Category: Muziki wa Tanzania]]

Pitio la 21:11, 17 Agosti 2007

Bongo Flava ni muziki kutoka Tanzania. Bongo Flava sio staili moja ya muziki. Ni mseto wa staili za muziki ambazo zimepewa umaarufu na ubunifu mkubwa wa vijana nchini Tanzania, hasa katika jiji la Dar Es Salaam. Ni R&B, Rap, muziki wa mchanganyiko wa midundo ya kisasa na asili, n.k. Muziki huu hujulikana pia kwa jina la Muziki wa Kizazi Kipya.

Viungo vya nje