Mehmed II : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
New page: thumb|right|250px|[[Sultani Mehmed Fatih mshindi wa Konstantinopoli 1453]] '''Mehmed II''' (pia: '''Mehmed Fatih''') alikuwa Sultani wa [[Milki ya Osm...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 22:45, 10 Julai 2007

Sultani Mehmed Fatih mshindi wa Konstantinopoli 1453

Mehmed II (pia: Mehmed Fatih) alikuwa Sultani wa Milki ya Osmani. Alijulikana hasa kwa sababu alivamia mji wa Konstantinopoli mwaka 1453 akamaliza milkui ya Bizanti.