Mwongo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
''<small><small>-Kwa maana ya "mwongo" kumtaja mtu asiyesema ukweli kwa kusudi tazama [[uongo]]-</small></small>''
'''Muongo''' ni kipindi cha [[miaka]] 10. Miongo 10 hufanya [[karne]] moja.

'''Mwongo''' ni kipindi cha [[miaka]] 10. Miongo 10 hufanya [[karne]] moja.

Kila miaka 10 ya mfululizo hufanya muongo lakini mara nyingi neno hutumiwa kutaja ile miaka kumi inayoanza kwa 1960 - 1969 au 1990 hadi 1999.
Kila miaka 10 ya mfululizo hufanya muongo lakini mara nyingi neno hutumiwa kutaja ile miaka kumi inayoanza kwa 1960 - 1969 au 1990 hadi 1999.

Pitio la 22:20, 8 Aprili 2011

-Kwa maana ya "mwongo" kumtaja mtu asiyesema ukweli kwa kusudi tazama uongo-

Mwongo ni kipindi cha miaka 10. Miongo 10 hufanya karne moja.

Kila miaka 10 ya mfululizo hufanya muongo lakini mara nyingi neno hutumiwa kutaja ile miaka kumi inayoanza kwa 1960 - 1969 au 1990 hadi 1999.

Njia nyingine ni kusema "muongo baada" au "muongo kabla" ya tukio fulani kwa mfano "Muongo baada ya vita kuu ya pili" kwa kutaja miaka ya 1945-1955 baada ya mwisho wa vita kuu ya pili ya dunia.