Mahakama ya Kimataifa ya Jinai : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d ainisha {{mbegu}} using AWB
d [r2.5.2] roboti Badiliko: yo:Ilé-Ẹjọ́ Ìwàọ̀daràn Káríayé; cosmetic changes
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:International Criminal Court logo.svg|thumb|Mahakama ya Kimataifa ya Jinai]]
[[Picha:International Criminal Court logo.svg|thumb|Mahakama ya Kimataifa ya Jinai]]
[[File:Omar al-Bashir, 12th AU Summit, 090131-N-0506A-342.jpg|thumb|right|Rais wa Sudan Omar al-Bashir ambaye anatakiwa kufikishwa mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai kwa ukiukaji wa haki za kibinadamu katika eneo la Darfur]]
[[Picha:Omar al-Bashir, 12th AU Summit, 090131-N-0506A-342.jpg|thumb|right|Rais wa Sudan Omar al-Bashir ambaye anatakiwa kufikishwa mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai kwa ukiukaji wa haki za kibinadamu katika eneo la Darfur]]


'''Mahakama ya Kimataifa ya Jinai''' (Kifaransa: ''Cour Pénale Internationale''; ambayo kawaida hujulikana kama '''ICC''' au '''ICCt''' ni mahakama ya kudumu ya kuwashtaki watu kwa [[mauaji ya kimbari]], hatia dhidi ya ubinadamu, hatia za kivita na hatia ya ushambulizi (ingawa kwa sasa haiwezi kuwashtaki watu kwa hatia ya ushambulizi)
'''Mahakama ya Kimataifa ya Jinai''' (Kifaransa: ''Cour Pénale Internationale''; ambayo kawaida hujulikana kama '''ICC''' au '''ICCt''' ni mahakama ya kudumu ya kuwashtaki watu kwa [[mauaji ya kimbari]], hatia dhidi ya ubinadamu, hatia za kivita na hatia ya ushambulizi (ingawa kwa sasa haiwezi kuwashtaki watu kwa hatia ya ushambulizi)
Mstari 70: Mstari 70:
[[tr:Uluslararası Ceza Mahkemesi]]
[[tr:Uluslararası Ceza Mahkemesi]]
[[uk:Міжнародний кримінальний суд]]
[[uk:Міжнародний кримінальний суд]]
[[yo:Ilé-Ẹjọ́ Ìwàọ̀daràn Káríayé]]
[[yo:International Criminal Court]]
[[zh:国际刑事法院]]
[[zh:国际刑事法院]]
[[zh-min-nan:Kok-chè Hêng-sū Hoat-īⁿ]]
[[zh-min-nan:Kok-chè Hêng-sū Hoat-īⁿ]]

Pitio la 23:17, 1 Desemba 2010

Mahakama ya Kimataifa ya Jinai
Rais wa Sudan Omar al-Bashir ambaye anatakiwa kufikishwa mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai kwa ukiukaji wa haki za kibinadamu katika eneo la Darfur

Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (Kifaransa: Cour Pénale Internationale; ambayo kawaida hujulikana kama ICC au ICCt ni mahakama ya kudumu ya kuwashtaki watu kwa mauaji ya kimbari, hatia dhidi ya ubinadamu, hatia za kivita na hatia ya ushambulizi (ingawa kwa sasa haiwezi kuwashtaki watu kwa hatia ya ushambulizi)

Mahakama haya yaliundwa mnamo tarehe Mosi Julai, mwaka wa 2000 - tarehe ambapo Mkataba wa Roma wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ulipata nguvu za kisheria.

Kufikia mwaka wa 2010, nchi 110 ni wanachama wa mahakama hayo, na nchi zingine 38 zimetia sahini lakini hazijapitisha kisheria Mkataba wa Roma. Hata hivyo, mataifa mengi, ikiwemo Uchina, Uhindi, Urusi na Marekani zinazidi kuyakosoa mahakama hayo na hazijajiunga nayo.

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mahakama ya Kimataifa ya Jinai kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.