Mwongo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
CGN2010 (majadiliano | michango)
No edit summary
Mstari 6: Mstari 6:




[[Jamii:Miongo|!]]

[[jamii:Vipimo vya wakati]]
[[jamii:Vipimo vya wakati]]



Pitio la 19:08, 16 Agosti 2010

Muongo ni kipindi cha miaka 10. Miongo 10 hufanya karne moja.

Kila miaka 10 ya mfululizo hufanya muongo lakini mara nyingi neno hutumiwa kutaja ile miaka kumi inayoanza kwa 1960 - 1969 au 1990 hadi 1999.

Njia nyingine ni kusema "muongo baada" au "muongo kabla" ya tukio fulani kwa mfano "Muongo baada ya vita kuu ya pili" kwa kutaja miaka ya 1945-1955 baada ya mwisho wa vita kuu ya pili ya dunia.