Dzeta : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ckb:زیتا
d roboti Badiliko: tr:Zita (harf)
Mstari 60: Mstari 60:
[[sv:Zeta]]
[[sv:Zeta]]
[[th:ซีตา]]
[[th:ซีตา]]
[[tr:Ζ]]
[[tr:Zita (harf)]]
[[uk:Дзета (літера)]]
[[uk:Дзета (літера)]]
[[wuu:Ζ]]
[[wuu:Ζ]]

Pitio la 23:18, 1 Mei 2010

Zeta

Dzeta (pia: Zeta) ni herufi ya sita katika Alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa kama ζ (alama ya kawaida) au Ζ (alama kubwa). Zamani za Kigiriki cha Kale ilikuwa pia alama kwa namba 7.

Asili ya dzeta ni herufi ya kifinisia ya zayin (tazama makala ya herufi Z). Matamshi yake ilikuwa "dz", katika Kigiriki cha kisasa ni zaidi kama Z ya Kiswahili.

Jinsi ilivyo kawaida na herufi mbalimbali za kigiriki ζ inatumiwa kama kifupi kwa ajili ya dhana mbalimbali katika hisabati na fizikia.