Umm al-Quwain : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: sv:Umm al-Qaywayn; cosmetic changes
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Flag of Umm al-Qaiwain.svg|thumb|Bendera ya Umm al-Quwain]]
[[Picha:Flag of Umm al-Qaiwain.svg|thumb|Bendera ya Umm al-Quwain]]
[[Image:UAE en-map.png|thumb|300px|Falme za Kiarabu]]
[[Picha:UAE en-map.png|thumb|300px|Falme za Kiarabu]]
'''Umm al-Quwain''' ([[Kiar.]]: أمّ القيوين) ni [[utemi]] wa Shirikisho la [[Falme za Kiarabu]] kwenye [[rasi ya Uarabuni]].
'''Umm al-Quwain''' ([[Kiar.]]: أمّ القيوين) ni [[utemi]] wa Shirikisho la [[Falme za Kiarabu]] kwenye [[rasi ya Uarabuni]].

Mstari 11: Mstari 11:
Biashara ya wenyeji ilikuwa uvuwi, kujenga maboti ya dhau na kilimo cha [[mitende]] katika oasis ya Falaj al-mula. Leo hii Utalii imekuwa muhimu.
Biashara ya wenyeji ilikuwa uvuwi, kujenga maboti ya dhau na kilimo cha [[mitende]] katika oasis ya Falaj al-mula. Leo hii Utalii imekuwa muhimu.

==Viungo vya nje==
== Viungo vya nje ==
*[http://www.UAQ24.com UAQ24.com] - Shopping, Business, Events and more in Umm Al Quwain
*[http://www.UAQ24.com UAQ24.com] - Shopping, Business, Events and more in Umm Al Quwain

=====Magazeti ya Falme za Kiarabu=====
===== Magazeti ya Falme za Kiarabu =====
* [http://www.gulf-news.com/ Gulf News]
* [http://www.gulf-news.com/ Gulf News]
* [http://www.khaleejtimes.com/ Khaleej Times]
* [http://www.khaleejtimes.com/ Khaleej Times]
Mstari 54: Mstari 54:
[[ro:Umm Al-Qaiwain]]
[[ro:Umm Al-Qaiwain]]
[[ru:Умм-Аль-Кайвайн (город)]]
[[ru:Умм-Аль-Кайвайн (город)]]
[[sv:Umm al-Qaiwain]]
[[sv:Umm al-Qaywayn]]
[[ta:உம் அல் குவெய்ன்]]
[[ta:உம் அல் குவெய்ன்]]
[[tl:Umm al-Qaiwain]]
[[tl:Umm al-Qaiwain]]

Pitio la 09:26, 28 Septemba 2009

Bendera ya Umm al-Quwain
Falme za Kiarabu

Umm al-Quwain (Kiar.: أمّ القيوين) ni utemi wa Shirikisho la Falme za Kiarabu kwenye rasi ya Uarabuni.

Iko katika kaskazini ya shirikisho kati ya Ajman na Ras al-Khaimah.

Mtawala wake ni Sheikh Rashid bin Ahmad Al Mu'alla (الشيخ راشد بن احمد المعلا).

Utemi una wakazi 62,000 (2003) katika eneo la 750 km². Haina mapato makubwa kutoka mafuta kama Abu Dhabi hivyo imebaki mji mdogo.

Biashara ya wenyeji ilikuwa uvuwi, kujenga maboti ya dhau na kilimo cha mitende katika oasis ya Falaj al-mula. Leo hii Utalii imekuwa muhimu.

Viungo vya nje

  • UAQ24.com - Shopping, Business, Events and more in Umm Al Quwain
Magazeti ya Falme za Kiarabu