Rosa Parks : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d robot Adding: ro:Rosa Parks
Mstari 40: Mstari 40:
[[pl:Rosa Parks]]
[[pl:Rosa Parks]]
[[pt:Rosa Parks]]
[[pt:Rosa Parks]]
[[ro:Rosa Parks]]
[[ru:Паркс, Роза Ли]]
[[ru:Паркс, Роза Ли]]
[[sk:Rosa Parksová]]
[[sk:Rosa Parksová]]

Pitio la 09:03, 27 Novemba 2006

Rosa Parks (Februari 4, 1913 – Oktoba 24, 2005) anakumbukwa kwa uamuzi wake wa kukataa kumpisha kiti Mmarekani mweupe kama sheria ilivyosema wakati huo. Uamuzi wake huo hapo mwaka 1955 ulipelekea mzozo uliosababisha Mgomo wa Mabasi wa Montgomery na kuchangia katika Vuguvugu la Haki za Kiraia Marekani. Baada ya kitendo chake cha kukataa kumpa mtu mweupe kiti ndani ya basi na Mgomo wa Montgomery uliodumu kwa mwaka, Mahakama ya Marekani ilitamka kuwa sheria za ubaguzi ndani ya mabasi huko Alabama na Montgomery zilikiuka katiba.

Viungo vya nje