Barafuto : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: mr:हिमनदी
d roboti Nyongeza: gan:冰川; cosmetic changes
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Aletschgletscher Panorama.jpg|thumb|left|500px|Barafuto ya Aletsch, [[Uswisi]] yenye umbo la mto wa barafu]]
[[Picha:Aletschgletscher Panorama.jpg|thumb|left|500px|Barafuto ya Aletsch, [[Uswisi]] yenye umbo la mto wa barafu]]
'''Barafuto''' huitwa pia "mto wa [[barafu]]". Ni kanda kubwa la barafu iliyoanza kutambaa kutokana na uzito wake ikifuata [[uvutano]] kwenye mtelemko. Kwa sababu hiyo barafuto zinapatikana hasa mlimani.

==Asili ya barafu ya barafuto==
== Asili ya barafu ya barafuto ==
[[Image:Glacier at summit of Mt Kilimanjaro 001.JPG|thumb|200px|Barafuto ndogo juu ya [[mlima Kilimajaro]]]]
[[Picha:Glacier at summit of Mt Kilimanjaro 001.JPG|thumb|200px|Barafuto ndogo juu ya [[mlima Kilimajaro]]]]

Barafuto zimetokana na [[theluji]] inayokaa miaka mingi bila kuyeyuka katika mazingira baridi. Theluji mpya inakaa juu ya theluji ya miaka iliyotangulia. Uzito wa theluji ya baadaye inakandamiza ile ya chini. Kutokana na [[shindikizo]] hili theluji ya chini hubadilika kuwa barafu kabisa.

[[Image:Glacial Valley MtHoodWilderness.jpg|thumb|right|200px|Bonde lenye umbo la "U" lilikatwa na barafuto huko Mt. Hood, [[Marekani]]]]
[[Picha:Glacial Valley MtHoodWilderness.jpg|thumb|right|200px|Bonde lenye umbo la "U" lilikatwa na barafuto huko Mt. Hood, [[Marekani]]]]
Barafuto ni kati ya nguvu kubwa za [[Mmomonyoko#Mmomonyoko wa barafu|mmomonyoko]] duniani.
Barafuto ni kati ya nguvu kubwa za [[Mmomonyoko#Mmomonyoko wa barafu|mmomonyoko]] duniani.

Mstari 12: Mstari 12:

{{mbegu}}
{{mbegu}}
[[Category:Jiografia]]

{{Link FA|tr}}
{{Link FA|tr}}

[[Jamii:Jiografia]]

[[af:Gletser]]
[[af:Gletser]]
Mstari 40: Mstari 40:
[[fi:Jäätikkö]]
[[fi:Jäätikkö]]
[[fr:Glacier]]
[[fr:Glacier]]
[[gan:冰川]]
[[he:קרחון יבשתי]]
[[he:קרחון יבשתי]]
[[hi:हिमनद]]
[[hi:हिमनद]]

Pitio la 12:49, 30 Mei 2009

Barafuto ya Aletsch, Uswisi yenye umbo la mto wa barafu

Barafuto huitwa pia "mto wa barafu". Ni kanda kubwa la barafu iliyoanza kutambaa kutokana na uzito wake ikifuata uvutano kwenye mtelemko. Kwa sababu hiyo barafuto zinapatikana hasa mlimani.

Asili ya barafu ya barafuto

Barafuto ndogo juu ya mlima Kilimajaro

Barafuto zimetokana na theluji inayokaa miaka mingi bila kuyeyuka katika mazingira baridi. Theluji mpya inakaa juu ya theluji ya miaka iliyotangulia. Uzito wa theluji ya baadaye inakandamiza ile ya chini. Kutokana na shindikizo hili theluji ya chini hubadilika kuwa barafu kabisa.

Bonde lenye umbo la "U" lilikatwa na barafuto huko Mt. Hood, Marekani

Barafuto ni kati ya nguvu kubwa za mmomonyoko duniani.

Afrika ina barafuto ndogo kadhaa juu ya mlima Kilimanjaro na mlima Kenya lakini zinaelekea kupotea kutokana na uhaba wa mvua itakayobadilika kuwa theluji mpya.

Kigezo:Link FA