Missouri (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: no:Missouri (elv)
Mstari 31: Mstari 31:
[[ko:미주리 강]]
[[ko:미주리 강]]
[[lt:Misūris (upė)]]
[[lt:Misūris (upė)]]
[[mr:मिसूरी नदी]]
[[nl:Missouri (rivier)]]
[[nl:Missouri (rivier)]]
[[no:Missouri (elv)]]
[[no:Missouri (elv)]]

Pitio la 20:34, 16 Februari 2009

Ramani ya beseni ya Missouri

Mto Missouri ni mto mkubwa wa Marekani na tawimto muhimu zaidi wa Mississippi. Ni ndefu kushinda Missisipp mwenyewe na ni mto mrefu wa Amerika ya Kaskazini.

Chanzo cha mto kipo kenye milima ya Rocky Mountains katika jimbo la Montana. Missouri inaendelea kupita majimbo ya North Dakota, South Dakota, Iowa, Nebraska, Missouri na Kansas.

Inaishia katiia Missisippi karibu na mji wa Saint Louis, Missouri.