Pavel Cherenkov : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 40: Mstari 40:
[[sl:Pavel Aleksejevič Čerenkov]]
[[sl:Pavel Aleksejevič Čerenkov]]
[[sv:Pavel Tjerenkov]]
[[sv:Pavel Tjerenkov]]
[[zh:帕维尔·切科夫]]
[[zh:帕维尔·阿列克谢耶维奇·切科夫]]

Pitio la 21:35, 30 Novemba 2008

Pavel Alekseyevich Cherenkov (28 Julai, 19046 Januari, 1990) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Urusi. Aligundua mnururisho wa Cherenkov unaotokea elektroni ikitembea kwa mwendo mkali zaidi kuliko mwendo wa nuru. Mwaka wa 1958, pamoja na Igor Tamm na Ilya Frank alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.