William Carlos Williams : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 6: Mstari 6:
{{mbegu}}
{{mbegu}}


[[cy:William Carlos Williams]]
[[de:William Carlos Williams]]
[[de:William Carlos Williams]]
[[en:William Carlos Williams]]
[[en:William Carlos Williams]]

Pitio la 11:07, 5 Agosti 2006

William Carlos Williams (17 Septemba 1883 – 4 Machi 1963) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Marekani. Pamoja na kufanya kazi kama daktari, aliandika mashairi, insha za historia na riwaya fupi. Mwaka wa 1963 wakati alipokuwa ameshafariki aliteuliwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer kwa ajili ya mkusanyiko wake “Picha za Brueghel, na Mashairi Mengine” (kwa Kiingereza: Pictures from Brueghel, and Other Poems) iliyotolewa mwaka wa 1962.