Derek Barton : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: id:Derek Harold Richard Barton |
d roboti Badiliko: sl:Derek Harold Richard Barton |
||
Mstari 30: | Mstari 30: | ||
[[ru:Бартон, Дерек Харолд Ричард]] |
[[ru:Бартон, Дерек Харолд Ричард]] |
||
[[sk:Derek Harold Richard Barton]] |
[[sk:Derek Harold Richard Barton]] |
||
[[sl:Derek Barton]] |
[[sl:Derek Harold Richard Barton]] |
||
[[sv:Derek Barton]] |
[[sv:Derek Barton]] |
||
[[zh:德里克·巴顿]] |
[[zh:德里克·巴顿]] |
Pitio la 20:28, 15 Machi 2008
Derek Harold Richard Barton (8 Septemba, 1918 – 16 Machi, 1998) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mfumo wa molekuli mbalimbali. Mwaka wa 1969, pamoja na Odd Hassel alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia. Mwaka wa 1972 alipewa cheo cha "Sir".
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |