Mtumiaji:Zenman/Sanduku la mchanga3 : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Zenman (majadiliano | michango)
clr Slm
Tag: Blanking
Zenman (majadiliano | michango)
Sanduku la mchanga
Mstari 1: Mstari 1:
'''Wilaya ya Abidjan''' au '''Wilaya huru ya Abidjan''' (kwa Kifaransa: District autonome d'Abidjan) ni moja kati ya [[Wilaya za Cote d'Ivoire|wilaya 14 za nchini Cote d'Ivoire]] na ni moja kati ya wilaya huru mbili za nchi. Iko katika [[Kusini]] ya nchi. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 4,707,404. Makao makuu yako Abidjan.

Pitio la 21:09, 8 Juni 2019

Wilaya ya Abidjan au Wilaya huru ya Abidjan (kwa Kifaransa: District autonome d'Abidjan) ni moja kati ya wilaya 14 za nchini Cote d'Ivoire na ni moja kati ya wilaya huru mbili za nchi. Iko katika Kusini ya nchi. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 4,707,404. Makao makuu yako Abidjan.