Wajibu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Wajibu |
(Hakuna tofauti)
|
Pitio la 06:25, 10 Juni 2017
wajibu ni kazi au jambo fulani ambalo nilazima ufanye au kutimiza kila mtu ana wajibu wake atakama awe ni baba wafamilia mfano wa waufanya wajibu kwa baba:kulinda familia yake
kusomesha watoto wake kufanya kazi kwa bidii
kwa mama:kumsaidia baba kazi
kuwapa watoto upedokwani mama ndiye anayekaa na watoto kwa muda mwingi kuliko baba ila si mama tu kufanya kazi
kwa mtoto:kusoma kwa dibii
kutii wazazi kufanya kazi za nyumbani n.k
kusoma kwa bidii