Nenda kwa yaliyomo

Maadili ya akili mnemba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Maadili ya akili bandia)
Sehemu ya mfululizo kwenye akili bandia

Maadili ya akili mnemba inajumuisha mada mbalimbali ndani ya nyanja hiyo ambayo inachukuliwa kuwa na mihimili fulani ya kimaadili, ikiwemo ni pamoja algoriti, usawa, kufanya maamuzi kiotomatiki, uwajibikaji, faragha na udhibiti. [1]

Pia inashughulikia changamoto mbalimbali zinazojitokeza au zinazoweza kutokea siku zijazo kama vile maadili ya mashine (jinsi ya kutengeneza mashine zinazofanya kazi kimaadili), mifumo hatari ya silaha zinazojiendesha, mienendo ya mbio za silaha, usalama na upatanishi, ukosefu wa ajira wa kiteknolojia, habari potofu zinazowezeshwa na mfumo bandia, jinsi ya kushughulikia mifumo ikiwa ina hadhi ya maadili ya akili bandia na hatari zinazowezekana.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Müller, Vincent C. (Aprili 30, 2020). "Ethics of Artificial Intelligence and Robotics". Stanford Encyclopedia of Philosophy. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Oktoba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maadili ya akili mnemba kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.