Nenda kwa yaliyomo

Lynn White

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lynn White (29 Aprili 1907 – 30 Machi 1987) alikuwa mwanahistoria wa Marekani ambaye lazima ahusishwe na maandishi yoyote ya kitaaluma kuhusu theolojia ya mazingira kwa sababu kazi yake katika miaka ya 1960 iliichochea kwa kiwango kikubwa.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lynn White kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.