Nenda kwa yaliyomo

Lundi Tyamara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lundi Tyamara
Lundi Tyamara

Lundi Tyamara (16 Desemba 1978 – 27 Januari 2017) anajulikana pia kama Lundi, alikuwa mwimbaji wa nyimbo za Injili wa Afrika Kusini. [1] [2]

Lundi alianza kama mwimbaji msaidizi wa Rebecca Malope, kisha akapewa dili lake la kwanza la rekodi na Tshepo Nzimande. Mnamo 1998, Lundi Tyamara alitoa albamu yake ya kwanza iliyoitwa Mphefumlo Wami [3] ambayo iliuza takriban nakala 400,000, aliendelea kutoa zaidi ya albamu 20 katika taaluma yake akishinda tuzo kadhaa. Lundi alikuwa mmoja wa wasanii wa injili waliouza zaidi wakati wote nchini Afrika Kusini, akiuza zaidi ya nakala milioni 3 za albamu. [4]

Alikufa kwa ugonjwa wa TB ya tumbo na ini akiwa hospitali ya Edenvale huko Johannesburg na akazikwa huko Worcester. [5]

  1. "Lundi Tyamara: South African gospel star dies aged 38", 27 January 2017. 
  2. "President Zuma extends condolences on passing of gospel singer Lundi Tyamara | the Presidency". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-28. Iliwekwa mnamo 2022-05-15.
  3. "Gospel star Lundi dies". SAnews. 27 Januari 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Remembering Lundi, South African gospel star, 1979–2017 | Brand South Africa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-28. Iliwekwa mnamo 2022-05-15.
  5. "Lundi Tyamara's funeral service".
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lundi Tyamara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.