Lumino, Uganda
Mandhari
Lumino ni makazi katika Mkoa wa Mashariki huko nchini Uganda.
Mahali
[hariri | hariri chanzo]Lumino iko takribani kilomita 21 (maili 13), kwa barabara, kusini mwa Busia, mji mkubwa ulio karibu na eneo la makao makuu ya wilaya.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ GFC. "Road Distance Between Busia and Lumino With Route Marker". Globefeed.com (GFC). Iliwekwa mnamo 22 Desemba 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Lumino, Uganda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |