Ludmila Kalinina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ludmila Alexandrovna Kalinina (kwa Kirusi: Людмила Александровна Калинина) ni kocha wa mchezo wa kuteleza wa jozi kutoka Urusi. Alikuwa akifanya kazi Perm hadi katikati ya mwaka 2011 alipohamia Saransk.[1][2] Wanafunzi wake wamekuwa ni pamoja na:

  • Vera Bazarova / Yuri Larionov[3] (kuanzia mwezi wa tatu 2005 hadi Februari 2013)[4] Waliokuwa washindi wa medali za Ulaya mara mbili, na washindi wa medali kwenye Fainali ya Grand Prix mwaka 2012.
  • Elena Efaeva / Alexei Menshikov[5]
  • Alexei Rogonov[6]
  • Tatiana Tudvaseva / Sergei Lisiev[7]

Kalinina ana shahada ya uhandisi wa kemia.[8] Yeye ni mke na ana watoto wawili.[8].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.perm.aif.ru/sport/article/14939
  2. "Фигуристы Базарова и Ларионов переезжают из Перми в Саранск". Российская газета (kwa Kirusi). 2011-06-27. Iliwekwa mnamo 2023-07-30. 
  3. Tatjana Flade (2010-07-04). "Bazarova and Larionov: Surviving tough times". Golden Skate (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2023-07-30. 
  4. "ФЦП-пресс - Юрий Ларионов: Мы больше не работаем с Людмилой Калининой - Новости". web.archive.org. 2013-02-21. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-02-21. Iliwekwa mnamo 2023-07-30. 
  5. "Crystal Report Viewer". www.isuresults.com. Iliwekwa mnamo 2023-07-30. 
  6. "Golden Skate » Martiusheva and Rogonov: A Perfect Pair » Print". web.archive.org. 2012-01-27. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-27. Iliwekwa mnamo 2023-07-30. 
  7. "Biography". www.isuresults.com. Iliwekwa mnamo 2023-07-30. 
  8. 8.0 8.1 "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-27. Iliwekwa mnamo 2023-07-30.