Nenda kwa yaliyomo

Louise Feltin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Louise (Mama St. Andrew) Feltin (27 Desemba 1830 - 1 Februari 1905) alikuwa sista Mkatoliki kutoka Alsatia na mwanzilishi wa Shirika la Sisters of Divine Providence huko Texas, Marekani.[1]

  1. Roesch, Karen (2012). Language Maintenance and Language Death: The Decline of Texas Alsatian. Amsterdam: John Benjamins Publishing Company. ku. 11, 48–49. ISBN 9789027202888.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.