Louis Neel
Mandhari
Louis Eugene Felix Néel (22 Novemba 1904 – 17 Novemba 2000) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza sifa za usumaku. Mwaka wa 1970, pamoja na Hannes Alfven alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Louis Neel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |