Nenda kwa yaliyomo

Long Term 2 Enhanced Surface Water Treatment Rule

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Long Term 2 Enhanced Surface Water Treatment Rule ("LT2EWTR" au "LT2") ni kanuni zilizotanganzwa na shirika la United States Environmental Protection Agency (EPA) kwa mujibu wa sheria ya Safe Drinking Water Act.

Sheria imeitaka mifumo ya umma ya maji kuwekewa zaidi mifumo ya kutibu maji na kudhibiti vijidudu aina ya Cryptosporidium na vinginevyo.[1]