Nenda kwa yaliyomo

Ljungby

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ljungby

Ljungby ni manispaa na pia mji nchini Uswidi katika mkoa wa Kronoberg. Kuna wakazi 14,810 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1829.

Jiografia

[hariri | hariri chanzo]

Eneo lake ni 10.85 km².


Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ljungby kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.