Lindokuhle Sibankulu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lindokuhle Nduduzo Sibankulu (kuzaliwa 9 april 1981) ni mchezaji wa mpira wa kikapu mwenye asili ya Afrika ya kusini pia ana APN ya mchezaji bora wa kikapu katika ligi ya nchini Msumbiji.[1]Pia ni mwanajumuia ya Wanamichezo wa mpira wa kikapu nchini Afrika kusini na ni mshiriki wa mashindano ya African Championships ya mwaka 2005 na 2009[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "FIBA.com: 2009 FIBA Africa Championship for Men Team profile". web.archive.org. 2009-09-08. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-09-08. Iliwekwa mnamo 2022-09-01. 
  2. "FIBA.com: 2009 FIBA Africa Championship for Men Player profile". web.archive.org. 2010-01-09. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-09. Iliwekwa mnamo 2022-09-01. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lindokuhle Sibankulu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.