Nenda kwa yaliyomo

Lifitegrasti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lifitegrasti (Lifitegrast), inayouzwa kwa jina la Xiidra, ni dawa inayotumika kutibu macho makavu.[1] Haijulikani ikiwa faida zake ni kubwa kuliko madhara yake.[2][3] Dawa hii inatumika kama matone ya jicho.[1]

Madhara yake ya kawaida ni pamoja na kutoona vizuri, macho mekundu, maumivu ya kichwa, mabadiliko ya ladha, na kuwashwa.[1] Usalama wa matumizi yake katika ujauzito hauko wazi.[4] Inapunguza kuvimba kwa njia ya kuzuia seli za T.[2]

Lifitegrasti iliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu nchini Marekani mwaka wa 2016.[1] Haijaidhinishwa huko Uingereza wala Ulaya.[2][3] Nchini Marekani, inagharimu takriban Dola 580 kwa mwezi kufikia mwaka wa 202.[5]

  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 "Lifitegrast Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Machi 2021. Iliwekwa mnamo 22 Novemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 2.0 2.1 2.2 "Lifitegrast". SPS - Specialist Pharmacy Service. 8 Februari 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Desemba 2021. Iliwekwa mnamo 23 Novemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. 3.0 3.1 "Xiidra: Withdrawal of the marketing authorisation application". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Novemba 2021. Iliwekwa mnamo 23 Novemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Lifitegrast ophthalmic (Xiidra) Use During Pregnancy". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Novemba 2020. Iliwekwa mnamo 23 Novemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Lifitegrast Prices, Coupons & Savings Tips - GoodRx". GoodRx. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Oktoba 2016. Iliwekwa mnamo 23 Novemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lifitegrasti kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.