Lidingö
Mandhari
Lidingö ni kisiwa na manispaa Uswidi, mpaka wa kaskazini karibu na Stockholm. Kuna wakazi 30,357 (mwaka 2005). Lidingö ina historia ndefu.
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Eneo lake ni 12.54 km².
-
Makumbusho ya Lidingö
-
Kiwanda cha kutengeneza bidhaa
-
Gåshaga, nyumba za ghorofa
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Lidingö kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |