Nenda kwa yaliyomo

Levobunololi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Levobunololi (Levobunolol), inayouzwa chini ya jina la chapa Betagan miongoni mwa zingine, ni dawa inayotumiwa kutibu shinikizo la ndani ya jicho na glakoma ya pembe wazi.[1] Dawa hii inatumika kama tone la jicho.[1] Inapunguza shinikizo kwa karibu 25% hadi 40%.[1]

Madhara yake ya kawaida ni pamoja na uwekundu na kuuma kwa jicho.[1] Madhara yake mengine yanaweza kujumuisha keratiti ya bakteria na shinikizo la chini la damu.[1] Ni katikadawa zinazopunguza shinikizo la damu (beta blocker) kisichochagua.[1]

Levobunololi iliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu nchini Marekani mwaka wa 1985.[1] Nchini Uingereza, dozi 30 ziligharimu Huduma ya Afya ya Kitaifa (NHS) takriban £10 kufikia mwaka wa 2021.[2] Nchini Marekani mililita tano zinagharimu takriban Dola 12 za Merekani.[3]

  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 1.5 1.6 "Levobunolol Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Januari 2021. Iliwekwa mnamo 21 Novemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. BNF 81: March-September 2021. BMJ Group and the Pharmaceutical Press. 2021. uk. 1225. ISBN 978-0857114105.
  3. "Levobunolol Prices, Coupons & Savings Tips - GoodRx". GoodRx. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Oktoba 2016. Iliwekwa mnamo 21 Novemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Levobunololi kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.