Lazaro Nyalandu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Lazaro Samuel Nyalandu)
Nyalandu

Lazaro Samuel Nyalandu (amezaliwa 18 Agosti, 1970) ni mbunge wa jimbo la Singida North katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Lazaro Samuel Nyalandu". 25 Aprili 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.