Lawrence Kego Masha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
WikiLettreMini.svg Makala hii kuhusu "Lawrence Kego Masha" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.

Lawrence Kego Masha (amezaliwa tar. 11 Machi, 1970) alikuwa mbunge wa jimbo la Nyamagana katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM. Alipata kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya ndani (2006-2008), Waziri wa Mambo ya Ndani (2008-2009), Naibu Waziri wa Nishati na Madini (2006-2006). Ameuangushwa na mmoja kati ya wagombe wa CHADEMA.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]