Nenda kwa yaliyomo

Laura Kahunde

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Laura Kahunde ni muigizaji kutoka nchini Uganda. Kwa sasa anaigiza kama Angela katika NTV's Second Chance (Ugandan telenovela) Anafahamika pia kuigiza katika filamu za Mariam Ndagire's  Hearts in Pieces akiwa na  Abby Mukiibi, Where We Belong,[1] na Dear Mum akiwa na  Mariam Ndagire mwenyewe. Ameshiriki pia kwenye  Usama Mukwaya Hello (2011 filamu) iliyomfanya akashinda katika tuzo za mwanafunzi muigizaji bora wa kike mwaka 2011  MNFPAC. Pia amejitokeza katika filamu ya Henry Ssali ijulikanayo kama Bullion (2014 filamu)| Bullion pamoja na dada yake Juliana Kanyomozi. Amethibitisha kufanya kazi tena pamoja na Usama Mukwaya katika filamu yake ijayo Love Faces (filamu)|Love Faces akiwa na Moses Kiboneka Jr. na Patriq Nkakalukanyi.[2]

Maisha binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Laura ni mzaliwa wa mwisho wa Gerald na Catherine Manyindo. [3] Pia ni binamu wa King Oyo, mtawala Omukama wa Toro, kaskazini mwa Uganda na ni dada wa muimbaji na muigizaji Juliana Kanyomozi[4] na pamoja wametokea kwenye filamu ya, Bullion.

  1. Abu-Baker Mulumba. "The Observer". observer.ug. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-03-24. Iliwekwa mnamo 15 Novemba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-06-11. Iliwekwa mnamo 2020-10-17.
  3. "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Julai 2014. Iliwekwa mnamo 2014-07-24.{{cite web}}: CS1 maint: archived copy as title (link) CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Will BULLION MOVIE bring Uganda its first OSCAR AWARD? - - Bigeye.ug". - Bigeye.ug. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-11-17. Iliwekwa mnamo 15 Novemba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)