Landskrona

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mnara wa maji wa Landskrona

Landskrona ni mji na manispaa, sehemu ya kusini ya Uswidi. Kuna wakazi 28,670 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1413 .

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Eneo lake ni 12.18 km².

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Landskrona kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.