Laholm
Mandhari
Laholm ni mji na manispaa nchini Uswidi. Kuna wakazi 5 835 (mwaka 2005). Iko kando ya mto Lagan.
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Eneo lake ni 4.12 km². Umbali na Jiji la Malmö ni 100 km.
-
Nguvu kupanda katika Laholm
-
Umri wa daraja
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Laholm kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |