Nenda kwa yaliyomo

Kuzingirwa kwa Nisibis (235)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mwaka wa 224 BK, Ardashir alishinda Dola la Parthia na kulitwaa na kuunda Milki ya Wasasani. Mara tu baada ya kuchukua mamlaka huko Ctesiphon, alianza kuvamia eneo la Dola la Roma. Severus Alexander alipozindua uvamizi mkubwa wa Dola la Persia katika miaka ya mapema ya 230 BK, vikosi vya Kipersia vilirejesha uvamizi huo na kusababisha hasara kubwa kwa jeshi la Warumi.[1] Baadaye, Wasasani walizingira mji wa Nisibis wa Warumi mnamo 235 au 237 walifanikiwa kuuteka.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. A Companion to the Roman Empire "Ardashir began to raid the Roman territory almost immediately after he had taken power at Ctesiphon, making Roman armies look plodding and inept. When Alexander launched a massive invasion of his territory in the early 230s, Ardashir drove it back, inflicting heavy casualties.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kuzingirwa kwa Nisibis (235) kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.