Nenda kwa yaliyomo

Kutatua migogoro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kutuliza migogoro)
Kim na Trump
Trump na waziri wa mambo ya njee wa Urusi

Kutatua migogoro huashiria kitendo cha kupunguza ugomvi. Ni kiashiria cha njia mbalimbali ambazo watu hutuliza vilio visivyoshughulikiwa ambavyo huzingatia haki dhidi ya kile wanachoona kuwa na makosa. Njia hizi ni kama kupiga kijembe, kejeli, ugaidi, vita, mauaji ya halaiki, sheria, upatanishi, na avoidance. Njia ya kutatua migogoro unategemea msingi wa jamii.

Ili vita halisi kutokea lazima kuwe na viashiria ambavyo vitaashiria sababu ya ugomvi ulivyo Migogoro si jambo linalosababishwa na jambo la kawaida , lakini mara nyingi huhusiana na suala lililopita. Kutuliza migogoro inahusu kutatua mgogoro kwa idhini ya mtu mmoja au pande zote, ambapo huwa na uwezekano kuwa kamwe na suluhisho Wala haifananishwi na mageuzi ya migogoro ambayo maksudi yake ni kubadilisha mfumo wa vyama vilivyo kwenye mgogoro.

Ushauri Nasaha

[hariri | hariri chanzo]

Wakati mgogoro binafsi unasababisha kuchanganyikiwa na kupoteza ufanisi, ushauri unaweza kuthibitisha kama usaidizi Ingawa shirika ni shirika chache zinaweza kuwa na anasa ya kuwa na washauri wataalamu kwa wafanyakazi, kwa kupewa mafunzo kiasi , mameneja wanaweza kufanya kazi hii. Ushauri wa kawaida , au "kusikiliza na kufahamu", kuwa msikilizaji mzuri-kitu ambacho kila meneja anapaswa kuwa. [1]

Wakati mwingine mchakato rahisi kuweza kuingia katika hisia za mtu ambayo ni kuelezea msikilizaji anayejali , huweza kuzuia kuchanganyikiwa na kuweza kufanya mru aliyeadhiriwa kuwa na akili ya kutatua shida .

Kuna mbinu mbalimbali zinazoweza kutumika kwa njia mwafaka. Ubora wa mbinu ambazo si za moja kwa moja ni kuwa ni rahisi na pia ina matokeo bora na pia inazuia meneja kujiingiza katika shughuli ambazo zinahitaji daktari wa akili. Hakuna mtu aliyewahi kudhuriwa kwa kuwa kusikizwa kwa makini na kueleweka. Kinyume chake, mbinu hii imesaidia watu wengi katika kukabiliana na matatizo ambayo yalikuwa yakiathiri ufanisi wao kazini. [2]

  1. Henry P Knowles; Börje O Saxberg (1971). Personality and leadership behavior. Reading, Mass.: Addison-Wesley Pub. Co. Chapter 8. {{cite book}}: Unknown parameter |nopp= ignored (|no-pp= suggested) (help); Unknown parameter |olc= ignored (help)CS1 maint: multiple names: authors list (link)
  2. Richard Arvid Johnson (1976). Management, systems, and society : an introduction. Pacific Palisades, Calif.: Goodyear Pub. Co. ku. 148–142. ISBN 0876205406 9780876205402. OCLC 2299496. {{cite book}}: Check |isbn= value: length (help)

Marejeo zaidi

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]