Nenda kwa yaliyomo

Kuta za Marrakesh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ngome za Marrakesh

Kuta za Marrakesh ni seti ya ngome za kujihami ambazo zinajumuisha wilaya za kihistoria ya medina na Marrakesh, Morocco. Ziliwekwa kwa mara ya kwanza mwanzoni mwa karne ya 12 kwa nasaba ya Almoravid iliyoanzisha mji huo mwaka 1070 kama mji mkuu wao mpya. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Deverdun, Gaston (1959). Marrakech: Des origines à 1912. Rabat: Éditions Techniques Nord-Africaines.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kuta za Marrakesh kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.