Kulungu ni neno la kiswahili na linaweza kumaanisha:
Kulungu (Bovidae) ni jina la wanyama wa Afrika. Dume wa spishi hii wana pembe.
Kulungu (Cervidae) ni jina la kawaida kwa wanyama wa Ulaya, Asia au Amerika wanaofanana na kulungu wa Afrika.
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana
Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.