Kuku paka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kuku wakupaka ni kuku aliepakwa viungo na kukangwa[1] na pia huitwa “kuku wakupaka”.  kina athari za Kiarabu, Kihindi na Kiafrika. Chicken kwa Kiswahili inamaanisha kuku.[2] [3] Chakula hiki ni maarufu sana katika pwani ya Afrika Mashariki na miongoni mwa jumuiya za Wahindi wanaoishi Kenya, Tanzania na Uganda.smear kwa kiswahili inamaanisha kupaka.


Marejeo[hariri | hariri chanzo]